{"id":2750,"date":"2026-07-11T17:05:18","date_gmt":"2026-07-11T15:05:18","guid":{"rendered":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/evangelizacion\/parokia-jumuiya-ya-jumuiya\/"},"modified":"2026-08-26T18:54:33","modified_gmt":"2026-08-26T16:54:33","slug":"parokia-jumuiya-ya-jumuiya","status":"publish","type":"evangelizacion","link":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/uinjilishaji\/parokia-jumuiya-ya-jumuiya\/","title":{"rendered":"Parokia jumuiya ya jumuiya"},"content":{"rendered":"\n<a name=\"parroquia\"><\/a>\n\n\n\n<h3 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Parokia jumuiya ya jumuiya<\/h3>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Baada ya tangazo la\nKerigma jumuiya zinaibuka katika parokia, ndugu wanaoishi \nuingizwaji huu kwa ukristo. Hatua kwa hatua zinaanza kuonekana kati yao\ndalili za Imani, upendo kwa adui. Muujiza huu wa kiroho utawaita\nwalio mbali kukutana na Yesu Kristo. Na jumuiya ya kikristo\nitabeba Upendo wa Mungu kwa watu wote.<\/p>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image is-style-circle-mask\"><figure class=\"alignleft size-large\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"300\" height=\"300\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Parroquia_Comunidad_de_Comunidades.png\" alt=\"Parokia Jumuiya ya Jumuiya\" class=\"wp-image-1374\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Parroquia_Comunidad_de_Comunidades.png 300w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Parroquia_Comunidad_de_Comunidades-150x150.png 150w\" sizes=\"auto, (max-width: 300px) 100vw, 300px\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">&#8220;Ninyi\n  Hamfanyi tu utume kwa sababu ya jinsi mlivyo, katika msukumo wa\nkugundua na kurejesha thamani za kikristo za kweli, zilizo halisi,\nzenye nguvu, ambazo vinginevyo zingeweza karibu kuyeyuka katika maisha\nya kawaida. Hapana! Ninyi mnaziweka kwenye ushahidi, mnazifanya zitokeze, na\n  mnazipatia mng&#8217;ao wa kimaadili ambao ni mfano halisi kwa sababu, hivyo, pamoja na roho hii ya kikristo, mnaishi jumuiya hii ya Neokatekumenato&#8230;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Ni furaha gani na tumaini gani mnavyotupatia\nna uwepo wenu na matendo yenu! Tunajua kwamba ndani ya\njumuiya zenu mnafanya kazi pamoja ili kuelewa na kustawisha hazina \nza Ubatizo wenu na matokeo ninyi kuwa mali yake Kristo&#8230;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kuishi na kukuza mwamko huu ni kile ambacho ninyi\nmnaita aina ya &#8220;baada ya Ubatizo&#8221; ambayo itaweza kufanya upya katika\njumuiya za kikristo za leo matokeo ya ukomavu na ya kina\nambayo yalitendeka katika Kanisa la mwanzo tangu kipindi cha\nmaandalizi ya Ubatizo&#8230;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Ninyi mnafanya baadaye: kabla au baada,\nNaweza kusema, si muhimu. Swala ni kwamba ninyi mnatazamia uhalisi, utimilifu, uwiano sawia, unyofu wa maisha ya Kikristo\u00bb.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-right wp-block-paragraph\">Mt. Paulo wa Sita, Mei 8 1974<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u00abUzoefu na kanuni za Kanisa vimeingiza\ndesturi takatifu ya kutoa ubatizo kwa watoto wachanga, zikiruhusu\nkwamba ibada ya ubatizo ifupishe kiliturjia yale maandalizi ambayo, katika\nvipindi vya kwanza, wakati jamii ilikuwa ya kipagani sana,\nyalifanyika kabla ya ubatizo, na yaliyoitwa katekumenato. Lakini katika\nmazingira ya kijamii ya leo namna hii inahitaji kuunganishwa na \nmaelekezo, na uanzishwaji unaoendana na mtindo wa maisha unaofaa kwa mkristo,\nukifuata ubatizo, yaani, na msaada wa kidini, \nna mafunzo ya vitendo kwa uaminifu wa kikristo, na kuingizwa\nkwa nguvu katika jumuiya ya waumini, ambayo ni Kanisa&#8230;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Tazameni hapa kuzaliwa upya kwa jina la &#8220;katekumenato&#8221;,\nambayo hakika haitaki kubatilisha au kupunguza umuhimu wa\nmwenendo uliopo sasa wa kubatiza, bali inataka kuutekeleza kwa mbinu\nya uinjilishaji wa hatua kwa hatua na wa kina, unaokumbusha na kufanya upya kwa namna fulani ile katekumenato  ya nyakati nyingine. Aliyebatizwa anahitaji\nkuelewa, kufikiri upya, kuthamini, ili kuunga mkono utajiri usiopimika wa\nsakramenti iliyopokelewa.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-right wp-block-paragraph\">Mt. Paulo wa Sita, Januari 12 1977<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:16px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:16px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Parokia jumuiya ya jumuiya Baada ya tangazo la Kerigma jumuiya zinaibuka katika parokia, ndugu wanaoishi uingizwaji huu kwa ukristo. Hatua kwa hatua zinaanza kuonekana kati yao dalili za Imani, upendo kwa adui. Muujiza huu wa kiroho utawaita walio mbali kukutana na Yesu Kristo. Na jumuiya ya kikristo itabeba Upendo wa Mungu kwa watu wote. &#8220;Ninyi [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":1058,"template":"","meta":{"_hide_header":false,"_hide_footer":false,"_nck_seo_title":"","_nck_seo_description":"","footnotes":""},"categories":[],"tags":[],"class_list":["post-2750","evangelizacion","type-evangelizacion","status-publish","has-post-thumbnail","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2750","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion"}],"about":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/evangelizacion"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2750\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":22663,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2750\/revisions\/22663"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/1058"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2750"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2750"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2750"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}