{"id":2834,"date":"2026-07-11T17:05:19","date_gmt":"2026-07-11T15:05:19","guid":{"rendered":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/evangelizacion\/familia-katika-utume\/"},"modified":"2026-08-26T18:54:48","modified_gmt":"2026-08-26T16:54:48","slug":"familia-katika-utume","status":"publish","type":"evangelizacion","link":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/uinjilishaji\/familia-katika-utume\/","title":{"rendered":"Familia katika utume"},"content":{"rendered":"\n<a name=\"familias\"><\/a>\n\n\n\n<h3 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Familia katika utume<\/h3>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mwaka 1985\nKiko, Carmen na Padre Mario walimwonyesha Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili \nmradi &#8211; uliopokelewa kwa shauku kubwa kwa upande wake &#8211; ili\nkuinjilisha tena Ulaya ya kaskazini kwa kutuma familia za kimisionari\nzinazosindikizwa na mpresbiteri. Mnamo 1986, Papa alituma familia 3 za kwanza: \nmoja kaskazini mwa Finland, nyingine Hamburg (Ujerumani) na\nya tatu Strasbourg (Ufaransa). Mnamo 1987 familia 3 za kwanza zilitumwa\nkwa vile vinavyoitwa &#8220;vijiji vijana &#8221; vya Amerika ya Kusini.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mnamo Desemba 30, 1988, Yohane Paulo II\naliwasili kwa helikopta katika Senta ya Kimataifa ya Njia\nya Neokatekumento huko Porto San Giorgio kutuma familia 72 popote\nduniani. \u201cKanisa Takatifu la Mungu, wewe huwezi kufanya utume wako, \nhuwezi kutimiza utume wako duniani, ikiwa si kwa njia ya familia na\nutume wake.&#8221; \u201cFamilia Takatifu si kitu kingine isipokuwa hiki: familia\nya kibinadamu katika utume wa kimungu. Familia katika utume, Utatu Mtakatifu \nkatika utume. Mnapaswa kusaidia familia, mnapaswa kuilinda dhidi ya uharibifu wowote,&#8221; alisema siku hiyo Mtakatifu Yohane Paulo II.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Tangu wakati huo, karibu familia 1,800 \nzimetumwa na Mapapa wa mwisho kwa mabara yote matano\nkuinjilisha kwa ushuhuda wao wa maisha ya kikristo kwa sura ya Familia\nTakatifu ya Nazareti na kupitia kazi mbalimbali za kimisionari.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Ni familia ambazo, baada ya miaka mingi katika \nsafari hii ya malezi baada ya ubatizo, ambapo nyingi zimejengwa upya,\nwanashukuru kwa kazi ya wokovu ambayo Mungu amefanya ndani yao.\nFamilia hizi, wengi wao wakiwa na watoto kadhaa, wanajitolea kwenda\nkwenye utume wakiacha raha ya maeneo yao ya asili. Wanaenda kwenye utume\npopote ambapo maaskofu wanaona haja ya ushuhuda wa familia\nya kikristo, wakiishi na kukita mizizi katika makanisa mahalia na kutekeleza\nkazi mbalimbali za uinjilishaji, wakishiriki katika upandikizaji wa\njumuiya mpya za kikristo.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Katika Statuta za Njia, imeelekezwa \nkwamba utekelezaji wa Njia ya Neokatekumenato unaweza kusaidiwa na\nfamilia zilizo katika utume ambazo, kwa ombi la Maaskofu, zinaenda kuishi\nkatika maeneo yaliyoacha ukristo wao au ambapo \u201cimplantatio\necclesiae\u201d  (&#8220;kanisa kupandikizwa&#8221;) inahitajika (Kifungu cha 33 [Familia katika utume], Statuta za Njia ya Neokatekumenato, Mei 11, 2008)\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Familia katika utume Mwaka 1985 Kiko, Carmen na Padre Mario walimwonyesha Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili mradi &#8211; uliopokelewa kwa shauku kubwa kwa upande wake &#8211; ili kuinjilisha tena Ulaya ya kaskazini kwa kutuma familia za kimisionari zinazosindikizwa na mpresbiteri. Mnamo 1986, Papa alituma familia 3 za kwanza: moja kaskazini mwa Finland, nyingine Hamburg (Ujerumani) [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":144,"featured_media":0,"template":"","meta":{"_hide_header":false,"_hide_footer":false,"_nck_seo_title":"","_nck_seo_description":"","footnotes":""},"categories":[],"tags":[],"class_list":["post-2834","evangelizacion","type-evangelizacion","status-publish","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2834","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion"}],"about":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/evangelizacion"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/144"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2834\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":22773,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2834\/revisions\/22773"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2834"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2834"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2834"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}