{"id":2897,"date":"2026-07-11T17:05:17","date_gmt":"2026-07-11T15:05:17","guid":{"rendered":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/evangelizacion\/uzuri-mpya\/"},"modified":"2026-08-26T18:55:05","modified_gmt":"2026-08-26T16:55:05","slug":"uzuri-mpya","status":"publish","type":"evangelizacion","link":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/uinjilishaji\/uzuri-mpya\/","title":{"rendered":"Uzuri mpya"},"content":{"rendered":"\n<a name=\"estetica\"><\/a>\n\n\n\n<h1 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Uzuri mpya<\/h1>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a name=\"iconos\"><\/a>\n\n\n\n<h3 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Picha na madirisha<\/h3>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image is-style-default\"><figure class=\"aligncenter size-large\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"400\" height=\"267\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2024\/12\/Camino_Neocatecumenal_Vidrieras_Catedral_Almudena_Madrid.png\" alt=\"Madirisha ya vioo ya Kanisa Kuu la Almudena Madrid\" class=\"wp-image-336\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2024\/12\/Camino_Neocatecumenal_Vidrieras_Catedral_Almudena_Madrid.png 400w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2024\/12\/Camino_Neocatecumenal_Vidrieras_Catedral_Almudena_Madrid-300x200.png 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 400px) 100vw, 400px\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Michoro katika Njia ya Neokatekumenato<\/h4>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kiko Arg\u00fcello alisomea Sanaa katika Chuo cha\nMt. Fernando cha Madrid na mwaka 1959 alipokea Tuzo ya Kitaifa ya Pekee\n  ya Uchoraji. Mnamo 1960, pamoja na mchongaji sanaa Coomontes na mchoraji wa vioo\nMu\u00f1oz de Pablos, alianzisha kikundi cha utafiti na maendeleo ya Sanaa\nWakfu &#8220;Gremio 62&#8221;. Alifanya maonyesho huko Madrid (Maktaba\nya Taifa), na kuiwakilisha Hispania, akiteuliwa na Wizara ya\nUtamaduni, katika Maonyesho ya Sanaa Takatifu Ulimwenguni huko Royan (Ufaransa) mwaka wa 1960. Huko Uholanzi, alionyesha baadhi ya kazi zake (Nyumba ya sanaa\n&#8220;Sura mpya&#8221;).\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Taji la Kifumbo<\/h4>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image is-style-default\"><figure class=\"alignleft size-large\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"400\" height=\"266\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Pinturas_Catedral_Almudena_Madrid_Kiko_Arguello.jpg\" alt=\"Michoro Kanisa Kuu la Almudena Madrid\" class=\"wp-image-1391\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Pinturas_Catedral_Almudena_Madrid_Kiko_Arguello.jpg 400w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Pinturas_Catedral_Almudena_Madrid_Kiko_Arguello-300x200.jpg 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 400px) 100vw, 400px\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\n&#8220;Uzuri \n  mpya peke yake utaokoa Kanisa\u00bb. Picha za &#8220;taji\nla kifumbo&#8221; hili zinataka kupenya mpaka ndani kabisa ya roho ya mwumini azitazamazo. Zimekusudiwa kumsaidia mwanadamu kumuinukia Mungu.\nPicha hizi zinatenda juu rohoni mwa Mkristo kama kwenye\nKugeuka Sura, ambapo mitume waliona mng&#8217;ao wa mwanga\n  wa kimungu juu ya Mlima Tabori. Kama yeye, wanasikiliza Neno la\nMungu, na zaidi ya yote katika liturjia, picha hizi, kwa njia ya moja kwa moja,\n  hapo hapo na kwa hisia zaidi, zinataka kuwasaidia waumini kugeuka sura\nkiroho. Mtakatifu Yohane wa Dameski, ambaye alitetea michoro hii  dhidi ya nguvu ya &#8220;iconoclasm&#8221; (mkondo uliokataza na kuharibu picha za kidini) \nna ambaye Papa Leo XIII alimtangaza kuwa Mwalimu wa Kanisa Zima,\nalisema: \u201cNimeona sura ya kibinadamu ya Mungu na nafsi yangu \nimeokolewa&#8221;\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Sura Takatifu ya Kristo iwasaidie ninyi kuwa mashahidi wa upendo wake.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"has-text-align-right wp-block-paragraph\">Kiko Arg\u00fcello.<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a name=\"arquitectura\"><\/a>\n\n\n\n<h3 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Usanifu Majengo<\/h3>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Usanifu Majengo katika Njia ya Neokatekumenato<\/h4>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image is-style-default\"><figure class=\"alignleft size-large\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"400\" height=\"267\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Capilla_Santisimo_Domus_Galilaeae.jpg\" alt=\"Kanisa dogo la Sakramenti Takatifu Domus Galilaeae\" class=\"wp-image-1392\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Capilla_Santisimo_Domus_Galilaeae.jpg 400w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Capilla_Santisimo_Domus_Galilaeae-300x200.jpg 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 400px) 100vw, 400px\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">  Katika \nhistoria, Kanisa daima limekuwa na kifungo hiki\nkati ya uzuri na uinjilishaji, nalo Kanisa limekuwa mjumbe mkubwa zaidi\nwa uzuri. Kila kitu kinaakisi uzuri wa Kristo na uzuri wa\njumuiya na wa ushirika wa kindugu. Uinjilishaji wa mataifa \n ya Waslavi (&#8220;Slavonic peoples&#8221;) ulifanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa njia ya uzuri wa liturjia, wa picha na nyimbo. Ni katika miaka hii ya mwisho tu ambapo hata \nndani ya Kanisa maono ya kitendaji yanaonekana kutawala ambayo yanapunguza\nmahali ambapo jumuiya inaishi na kukutana kuwa tu vyumba vya mikutano\nmkutano.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Walakini, hasa leo, zaidi kuliko hapo awali\nni lazima na ya dharura kwamba miundo ya Kanisa ifanywe upya. \nJibu kwa utandawazi (kijiji cha ulimwengu), kwa jiji kubwa, kwa &#8220;utamaduni mmoja&#8221;, ni \nparokia ambayo inakuwa &#8220;kijiji cha mbinguni&#8221;: mfano wa kijamii wa kibinadamu zaidi\nwenye uwezo wa kufungua nafasi kwa ajili ya jamii mpya ya upendo\nKusanyiko la Ekaristi linalowawezesha waumini kushiriki kwa namna hai, \nuhalisia wa jumuiya ya jumuiya zenye &#8220;catecumenium&#8221; \ninayoundwa na kumbi za kupendeza za kiliturjia kwa maadhimisho katika \njumuiya ndogo.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Katika mabara yote matano inawezekana kukutana na\nkazi zilizofanywa na Kiko ndani ya uzuri mpya: \nSeminari za Redemptoris Mater, parokia mpya, &#8220;catecumenium&#8221; (yaani, kumbi kwa \nmaadhimisho ya jumuiya), nk.\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a name=\"escultura\"><\/a>\n\n\n\n<h3 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Uchongaji sanaa<\/h3>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Uchongaji sanaa katika Njia ya Neokatekumenato<\/h4>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image is-style-default\"><figure class=\"alignright size-large\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"400\" height=\"267\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Escultura_Sermon_Montana_Domus_Galilaeae.jpg\" alt=\"Hotuba ya Mlimani - Uchongaji\" class=\"wp-image-1393\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Escultura_Sermon_Montana_Domus_Galilaeae.jpg 400w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Escultura_Sermon_Montana_Domus_Galilaeae-300x200.jpg 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 400px) 100vw, 400px\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Dostoevsky,\n  &#8220;Uzuri utaokoa ulimwengu.&#8221; Uzuri, kama mnavyojua, ni\nsilka ya utu, pamoja na wema na ukweli. Kwa sababu, kama anavyosema\nMtakatifu Thomaso, uhalisia wote ni mmoja, ni wa kweli, ni halisi. Lakini\n  mimi ninapenda kuhusisha uzuri na raha. Hisia ya uzuri,\nurembo, hutupatia raha, hutufanya tusikie hisia. Kwa hiyo Mungu, \nkwa namna fulani, ameumba maumbile. Aliyeumba maumbile,\nameyafanya kuwa mazuri ili kutupatia raha.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Raha inahusiana na upendo. na\ninavutia, kwangu mimi kama mchoraji, niliyesomea sheria za\nuwiano, kwamba kila kitu katika maumbile kinahusiana na uzuri, na \nkipo kwa ajili ya uzuri. Si kila kitu ni uzuri, kwa maana fulani, lakini\nsheria za uwiano zinahusiana katika maada, katika umbo&#8230; Inaamsha shauku,\n  sayansi inayosoma mahusiano ni hisabati, ndiyo maana katika\nuwiano kuna mfuatano mzima wa milinganyo ambayo ni ya kihisabati. Tayari\nkatika sanaa ya Plato alizungumza juu ya jiometria ya uumbaji na ya\nhisabati. Katika sanaa, iwe katika uchoraji, iwe katika uchongaji, iwe katika \nmuziki, iwe katika ushairi, kila kitu kiko kwenye uhusiano, mahusiano ambayo yanapatana.\n<\/p>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image is-style-default\"><figure class=\"alignleft size-large\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"400\" height=\"267\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Custodia_Santisimo_Domus_Galilaeae.jpg\" alt=\"Tabenakulo ya Domus Galilaeae\" class=\"wp-image-1394\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Custodia_Santisimo_Domus_Galilaeae.jpg 400w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Custodia_Santisimo_Domus_Galilaeae-300x200.jpg 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 400px) 100vw, 400px\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">  Uhusiano \nhuu wa kihisabati uliopo katika uwiano, upo vilevile katika\nwakati, upo katika muziki. Muziki ni muhimu sana kwa sababu \nunatufundisha uzuri katika mgawanyiko wa muda. Kila nota inatoa thamani ya nota inayofuata katika wakati, katika uchoraji kila kitu, kila mumbile , kila nyenzo,\nkila mchoro unathamini mwingine. Kwa mfano, simfonia ya nne ya Beethoven,\ninaanza na &#8220;dissonance&#8221; (nota zisizoendana). Ni ajabu. Kuthamini\n  muda ndani ya wakati, tuseme kwamba kuna &#8230; Tusiseme juu ya ushairi, neno, \nuchongaji. Kwa mfano, Henry Moore, mchongaji sanaa mwingereza, amesomea\nmifupa ya mwanadamu, na ameona kwamba mifupa ya mtu &#8230; Pengo ndani ya mfupa wa paja ni kamilifu. Pengo hilo ni kamilifu kwa ajili ya kazi ya uungaji wa mifupa na  wakati huo huo unapendeza, \nhadi kiwango cha juu. Kutengeneza tao lenye uzuri,\nlinalopendeza, ni vigumu sana. Tao la shingo ya sili ni ya ajabu.\nJinsi wanyama wanavyohusiana, sio kila tao lina uzuri.\nMoore anachukua mapengo haya, anayasoma na kutengeneza sanamu yenye matao,\nkwa sababu tao la aina fulani linaendana na uvimbe mwingine\nwa aina nyingine ili kuleta uzuri, kwa sababu kila kitu kinahusiana.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Tuseme hivi kwamba katika uzuri kuna siri ya kina, ambayo ni upendo.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kiko ametengeneza vifaa vingi kwa ajili ya liturjia:\nvikombe, sahani, vyetezo, vifuniko vya Biblia, mapambo&#8230;, na pia \n  sanamu nyingi: Hotuba ya Mlimani, Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili,\nYesu Kristo msulubiwa, paa nk.\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a name=\"libros\"><\/a>\n\n\n\n<h3 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Vitabu<\/h3>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Wasifu wa Maisha &#8211; Carmen Hern\u00e1ndez<\/h4>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a class=\"btn read-more-btn\" href=\"https:\/\/bac-editorial.es\/maior\/1787-carmen-hernandez-notas-biograficas-cartone.html\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer\"><i class=\"fa fa-gift\"><\/i>\u00a0Kununua<\/a>\r\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image\"><figure class=\"alignleft size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"193\" height=\"300\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/camino-neocatechumenal-notas-biograficas-carmen-hernandez-aquilino-cayuela.png\" alt=\"Carmen Hern&#xE1;ndez. Wasifu ya maisha na Aquilino Cayuela.\" class=\"wp-image-1395\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Katika maelezo haya ya wasifu mtamwona mwanamke wa kipekee, muhimu sana kwa Kanisa, aliyeshikwa upendo na Kristo, na Maandiko na pia na Ekaristi. Alijua wazi kwamba utume ambao Mungu alikuwa amempa ulikuwa kuniunga mkono, kunitetea na kunisahihisha, kwa manufaa ya Njia ya Neokatekumenato.\n\nNinamshukuru Mungu kwa ajili ya Carmen ambaye daima ameniambia ukweli. Alikuwa mwanamke wa kina, halisi na huru katika uhusiano wake na kila mtu. Alikuwa na akili sana. Alimpenda Kristo na Kanisa na Papa, zaidi ya yote.\n\nTunaamini kwamba Carmen yuko pamoja na Bwana, tayari yuko kwenye sherehe. Maelezo haya ya wasifu si tu kwa ajili ya ndugu wa Njia, bali ni kwa ajili ya Kanisa zima, kumtambulisha mwanamke wa ajabu, ambaye ameishi imani kwa kiwango cha kishujaa. Carmen Hernandez! (Kiko Arguello).<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Wasifu rasmi wa kwanza wa Carmen Hern\u00e1ndez umechapishwa<\/strong>. Kumbukumbu ya miaka mitano ya kufariki kwake Carmen Hern\u00e1ndez, Julai 19, 2021, inalingana na kuchapishwa kwa wasifu wake rasmi wa kwanza, ambaye mwandishi wake ni profesa na daktari wa Falsafa Aquilino Cayuela na umehaririwa na Maktaba ya <a href=\"https:\/\/bac-editorial.es\/maior\/1787-carmen-hernandez-notas-biograficas-cartone.html\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Waandishi wa Kikristo (BAC)<\/a>.<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:16px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Kerigma. Katika vibanda pamoja na maskini.<\/h4>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a class=\"btn read-more-btn\" href=\"https:\/\/www.casadellibro.com\/libro-el-kerigma\/9788493781248\/2050609\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer\"><i class=\"fa fa-gift\"><\/i>\u00a0Kununua<\/a>\r\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image\"><figure class=\"alignleft size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"198\" height=\"300\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino-Neocatecumenal-Libro-Kerigma-Kiko-Arguello.png\" alt=\"\" class=\"wp-image-1396\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">\u201cNimetaka\n  kuandika kitabu hiki kidogo kilichopendekezwa na Kardinali Ca\u00f1izares,\n  ambaye aliona ni muhimu niseme kitu kuhusu yale ambayo Bwana\namefanya nasi katika vibanda, pamoja na maskini, na pia kwamba\nningechapisha kerigma ambayo itaweza kusaidia, hasa kwa upande wa maudhui na\nwa anthropolojia, kwa ajili ya Sinodi juu ya Uinjilishaji Mpya\u00bb. Kiko\nArguello.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kardinali Ca\u00f1izares: \u00abKitabu hiki ni zawadi kweli\nya Mungu, kinachotuhuisha na kututia moyo katika imani, kinachoondoa \nhofu na kutujaza ujasiri.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kardinali Sch\u00f6nborn: &#8220;Katika katekesi hii, kwa namna \nya ajabu, tangazo zima la Injili limefupishwa&#8221;.\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:16px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Noti 1988-2014<\/h4>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a class=\"btn read-more-btn\" href=\"https:\/\/www.casadellibro.com\/libro-anotaciones-1988---2014\/9788422019244\/4777302\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer\"><i class=\"fa fa-gift\"><\/i>\u00a0Kununua<\/a>\r\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image\"><figure class=\"alignleft size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"193\" height=\"300\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino-Neocatecumenal-Libro-Anotaciones-Kiko-Arguello.png\" alt=\"\" class=\"wp-image-1397\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">&#8220;Tangu \n  karibu miaka thelathini iliyopita, nimekuwa nikiandika kwenye daftari, \nmara kwa mara na bila utaratibu, na bila nia iliyodhamiriwa, baadhi ya\nmawazo, tafakari, kweli, kumbukumbu, fikira, maelezo,\n  mazungumuzo ya nafsi, maombi, n.k., yaliyoamshwa \nndani yangu wakati wa utume wa\nuinjilishaji na wa katekesi ambayo kwayo Bwana ameniita katika\nKanisa, pamoja na Carmen Hern\u00e1ndez na Pd. Mario Pezzi. Ikiwa\nnoti hizi zinamsaidia mtu, Mungu na ahimidiwe&#8221;.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">&#8220;Kitabu hiki kimeundwa na vipande vidogo vya fasihi ambavyo vinaweza \nkusomwa bila kuunganishwa na kile kilichotangulia au kinachofuata. \nNi tafakari zilizotokana na tukio, kuishi pamoja au \nmkutano; kubisha mlango wa roho kwa kutangaza au kujishtaki;\nkujiuliza au kujiita kwa matumaini ambako\n  msomaji anajisikia kuhusishwa: mara nyingi ni siri za kuthubutu zinazotoka katika nafsi ya mwandishi; wakati mwingine ni aina ya tenzi au zaburi, dua zenye moto\nna shukrani za kusisimua kwa Mungu. Kwa maelezo yaliyomo\nkwenye maandishi mafupi haya inawezekana kwa namna fulani kufuata mkondo\nwa kihistoria kutoka 1988 hadi 2014. Yanaunganishwa na historia ya imani\nya mwandishi na ya Njia ya Neokatekumenato, zaidi kuliko uendelezaji wa mada,\ningawa maudhui mengi ya karama husika yanaonekana hapa na pale. Ni\nhistoria iliyojaa furaha na mateso; inaruhusu kuona pambano \nla mwandishi kwa kutekeleza kwa uaminifu agizo lililopokelewa kutoka kwa Mungu\u00bb\n  (\u2020 Mons. Ricardo Bl\u00e1zquez P\u00e9rez, Kardinali Askofu Mkuu wa Valladolid).\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:16px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Shajara za 1979-1981<\/h4>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a class=\"btn read-more-btn\" href=\"https:\/\/www.casadellibro.com\/libro-diarios-1979-1981\/9788422019879\/5645380\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer\"><i class=\"fa fa-gift\"><\/i>\u00a0Kununua<\/a>\r\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image\"><figure class=\"alignleft size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"198\" height=\"300\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2022\/12\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Diarios_Carmen_Hernandez.png\" alt=\"Shajara za 1979-1981\" class=\"wp-image-492\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">&#8220;Kunanyesha,\n  lakini siku inapambazuka tulivu. Yesu, nashangaa. Asante. \nMateso yameweka huruma moyoni mwangu. Asante Yesu. Amani,\nfuraha\u2026&#8221;. Carmen Hern\u00e1ndez, Bonde la Walioanguka &#8211; Madrid, Januari 27\nkutoka 1979.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">&#8220;Miaka hamsini bila kusimama hata mara moja, safari,\nuchunguzi, kutembelea jumuiya nyingi huko Madrid, Zamora,\nBarcelona, Paris, Roma, Florence, Ivrea&#8230; Kusikiliza na kusikiliza kila \n  ndugu kuhusu maisha yake, mateso yake na historia yake, ikiangazwa \nkwa nuru ya imani, ya msalaba mtukufu wa Bwana Wetu Yesu. Nafikiri kwamba\nmna haki ya kuufahamu moyo wake Carmen, upendo wake mkuu \nkwa Yesu Kristo. Alisema mara daima: &#8220;Yesu wangu, nakupenda, nakupenda. Njoo, njoo, nisaidie\u00bb\u00bb (Kiko Arg\u00fcello).\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:16px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<h4 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Njia ya Neokatekumenato<\/h4>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image\"><figure class=\"alignleft size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"215\" height=\"300\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Palabras_de_los_Papas.png\" alt=\"Njia ya Neokatekumenato - Maneno ya Mapapa\" class=\"wp-image-1398\" \/><\/figure><\/div>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Maneno ya Mapapa: Paulo VI, S. Yohane Paulo II, Benedikto XVI na Fransisko.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mitume wa kwanza, katika vikundi vidogo vya\nuinjilishaji, walizunguka katika masinagogi wakitangaza Habari Njema:\nMungu amemfufua mtumishi wake Yesu, ambaye sisi tumemkana, \ntukiomba neema kwa mwuaji; yule aliyekufa bila kuweka\npingamizi, bila kushindana na uovu, akiwapenda adui zake, asiwahesabie makosa\n(&#8220;Wasamehe kwa sababu hawajui watendalo&#8221;); yule aliyetoa sadaka mabaya\nwaliyomfanyia -mateso na msalaba &#8211; kama uthibitisho wa kwamba upendo wake ulikuwa mkubwa kuliko mauti \nna kwamba hakuacha kuwapenda, hata kama wangechukua\nuhai wake: Mungu alimfufua kutoka mauti na leo Yeye yu hai, \nili kusamehe kosa hili na lingine lolote.\n<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">&#8220;Muda wetu unahitaji kuanza upya\nujenzi wa Kanisa, karibu kisaikolojia na kichungaji, kana kwamba\nlingeanza tena, kutoka mwanzo, kwa kusema hivi, kuzaliwa upya\u00bb Paul VI,\nHotuba ya Jumatano, Agosti 4, 1976.\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a name=\"cantos\"><\/a>\n\n\n\n<h3 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Nyimbo za Njia ya Neokatekumenato<\/h3>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image size-large is-style-default\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"2362\" height=\"886\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Cantos_del_Camino_Resucito.jpg\" alt=\"Kitabu cha Nyimbo Amefufuka\" class=\"wp-image-1399\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Cantos_del_Camino_Resucito.jpg 2362w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Cantos_del_Camino_Resucito-300x113.jpg 300w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Cantos_del_Camino_Resucito-1024x384.jpg 1024w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Cantos_del_Camino_Resucito-768x288.jpg 768w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Cantos_del_Camino_Resucito-1536x576.jpg 1536w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Libro_Cantos_del_Camino_Resucito-2048x768.jpg 2048w\" sizes=\"auto, (max-width: 2362px) 100vw, 2362px\" \/><\/figure>\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Imepitiwa na\nSenta ya Neokatekumenato ya Jimbo la Madrid. Kitabu cha nyimbo \nkimehaririwa kwa rangi mbalimbali ili kutofautisha hatua za mihula ya\nNjia. Waimbaji wanapswa kuchagua nyimbo kulingana na hatua ya \nNjia ambamo Jumuiya yao imo na kusubiri\nmakatekista wawapitishie nyimbo katika Kuishi Pamoja mbalimbali na\nHatua za Njia, kwa njia hii ndugu wanaweza kuelewa\nmaana ya kila wimbo.\n<\/p>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<hr class=\"wp-block-separator\" \/>\n\n\n\n<div style=\"height:20px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n\n\n<a name=\"orquesta\"><\/a>\n\n\n\n<h3 class=\"has-text-align-center wp-block-heading\">Orkestra<\/h3>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Orkestra ya Kisimfonia ya Njia ya Neokatekumenato imeanzishwa kama \nhuduma ya Njia ya Neokatekumenato kwa uinjilishaji kupitia muziki.\n<\/p>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-image is-style-default\"><figure class=\"aligncenter size-large\"><a href=\"https:\/\/oscnc.org\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"400\" height=\"267\" src=\"\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Orquesta_Sinfonica.jpg\" alt=\"Orkestra ya Kisinfonia ya Njia ya Neokatekumenato\" class=\"wp-image-1400\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Orquesta_Sinfonica.jpg 400w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2026\/07\/Camino_Neocatecumenal_Orquesta_Sinfonica-300x200.jpg 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 400px) 100vw, 400px\" \/><\/a><\/figure><\/div>\n\n\n\n<div align=\"center\"><a class=\"btn read-more-btn\" href=\"https:\/\/oscnc.org\/es\/\" target=\"_blank\" rel=\"noopener noreferrer\">\u00a0\u00a0<i class=\"fa fa-external-link\"><\/i>\u00a0\u00a0<\/a><\/div>\r\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Uzuri mpya Picha na madirisha Michoro katika Njia ya Neokatekumenato Kiko Arg\u00fcello alisomea Sanaa katika Chuo cha Mt. Fernando cha Madrid na mwaka 1959 alipokea Tuzo ya Kitaifa ya Pekee ya Uchoraji. Mnamo 1960, pamoja na mchongaji sanaa Coomontes na mchoraji wa vioo Mu\u00f1oz de Pablos, alianzisha kikundi cha utafiti na maendeleo ya Sanaa Wakfu [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":336,"template":"","meta":{"_hide_header":false,"_hide_footer":false,"_nck_seo_title":"","_nck_seo_description":"","footnotes":""},"categories":[],"tags":[],"class_list":["post-2897","evangelizacion","type-evangelizacion","status-publish","has-post-thumbnail","hentry"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2897","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion"}],"about":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/evangelizacion"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2897\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":23060,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/evangelizacion\/2897\/revisions\/23060"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/336"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2897"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2897"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2897"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}