{"id":300,"count":0,"description":"Karol J\u00f3zef Wojty\u0142a, alizaliwa huko Wadowice (Krak\u00f3w) mnamo Mei 18, 1920.\nMnamo Novemba 1, 1946, alipadrishwa huko Krakow. Mnamo 1948 alipata Udaktari katika Teolojia.\nMwaka 1958 aliteuliwa kuwa Askofu, mwaka 1964 akateuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Krakow na Paulo VI, aliyemfanya kuwa Kardinali mwaka 1967.\nTarehe 16 Oktoba 1978, alichaguliwa kuwa Papa wa Kanisa Katoliki akichukua jina la Yohane Paulo II.\nAlishiriki katika Mtaguso wa Vatikano II kwa mchango muhimu katika kufafanua katiba Gaudium et spes.\nAlifanya idadi kubwa ya safari za kitume ndani na nje ya Italia. Mnamo 1985, alianzisha Siku za Vijana Duniani (SViD). Mnamo 1994, alianzisha mikutano ya familia duniani .\nUpapa wake umekuwa kati ya zile ndefu zaidi katika historia ya Kanisa.\nYohane Paulo II alifariki tarehe 2 Aprili 2005. Alitangazwa kuwa Mwenye Heri tarehe 1 Mei 2011 na Papa Benedikto XVI na kutawazwa kuwa Mtakatifu tarehe 27 Aprili 2014 na Papa Fransisko.","link":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/maneno-ya-mapapa\/mt-yohane-paulo-ii\/","name":"Mt. Yohane Paulo II","slug":"mt-yohane-paulo-ii","taxonomy":"papa","parent":0,"meta":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/papa\/300","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/papa"}],"about":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/taxonomies\/papa"}],"wp:post_type":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/pontifices?papa=300"},{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/noticias?papa=300"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}