{"id":35619,"date":"2023-05-07T22:44:48","date_gmt":"2023-05-07T21:44:48","guid":{"rendered":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/hatua-mpya-katika-awamu-ya-roma-ya-mchakato-wa-kutangazwa-mwenye-heri-kwa-marta-obregon\/"},"modified":"2023-10-14T16:00:27","modified_gmt":"2023-10-14T15:00:27","slug":"hatua-mpya-katika-awamu-ya-roma-ya-mchakato-wa-kutangazwa-mwenye-heri-kwa-marta-obregon","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/hatua-mpya-katika-awamu-ya-roma-ya-mchakato-wa-kutangazwa-mwenye-heri-kwa-marta-obregon\/","title":{"rendered":"Hatua mpya katika awamu ya Roma ya Mchakato wa Kutangazwa Mwenye heri kwa Marta Obreg\u00f3n"},"content":{"rendered":"<div class=\"wp-block-image is-style-default\">\n<figure class=\"aligncenter size-full\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" width=\"468\" height=\"290\" src=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatecumenal-marta-obregon-salmista.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-34487\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatecumenal-marta-obregon-salmista.jpg 468w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatecumenal-marta-obregon-salmista-300x186.jpg 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 468px) 100vw, 468px\" \/><\/figure><\/div>\n<div style=\"height:30px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n<p>Siku ya Ijumaa, tarehe 5 Mei 2023, katika Idara ya Michakato ya Watakatifu ya Vatikano, kumekuwa na tukio la Ufunguzi wa masanduku ya Maandiko ya mchakato wa kijimbo wa kutangazwa Mwenye heri na Mtakatifu kwa Marta Obreg\u00f3n kwa njia ya kifo cha kishahidi.<\/p>\n<div class=\"wp-block-image\">\n<figure class=\"alignright size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" src=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatechumenal-marta-obregon-beatificacion.jpg\" alt=\"Bi. Cristiana Marinelli, mwombaji wa awamu ya kirumi ya Mchakato, Bw. Carlos Metola, mwakilishi wa upande wa kitendaji wa Mchakato, Bw. Saturnino L&#xF3;pez, mwombaji wa awamu ya kijimbo na ofisa wa Idara ya Michakato ya  Watakatifu ya Vatikano.\" class=\"wp-image-34425\" width=\"408\" height=\"369\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatechumenal-marta-obregon-beatificacion.jpg 815w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatechumenal-marta-obregon-beatificacion-300x272.jpg 300w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatechumenal-marta-obregon-beatificacion-768x695.jpg 768w\" sizes=\"auto, (max-width: 408px) 100vw, 408px\" \/><figcaption class=\"wp-element-caption\"><em>Waombaji wa Mchakato wa Marta Obreg\u00f3n<\/em><\/figcaption><\/figure><\/div>\n<p>Limekuwa tukio rahisi lakini lenye adhama, la kupendeza na lenye hisia kubwa. Hatua hii inaashiria endeleo la utafiti wa kina unaotekelezwa katika awamu hii ya pili. Walihudhuria mtangazaji mpya wa awamu ya Roma, Bi. Cristiana Marinelli, mpresbiteri mwombaji wa awamu ya kijimbo, Padre Saturnino L\u00f3pez, na Bw. Carlos Metola, mwakilishi wa waombaji wa Mchakato (Njia ya Neokatekumenato).<\/p>\n\n<p>Marta Obreg\u00f3n alikuwa msichana mwenye furaha, mchangamfu sana, ambaye alikuwa ndani ya jumuiya ya neokatekumenato katika parokia ya Mt. Mart\u00edn de Porres huko Burgos, Hispania. Alikuwa mmojawapo wa waimbaji wa jumuiya yake.<\/p>\n\n<p>Alipokuwa na umri wa miaka 22 na alikuwa akisoma mwaka wa mwisho wa shahada yake ya Uandishi wa Habari, &#8220;alisimama&#8221; kwa ajili ya unijilishaji katika Kuishi Pamoja ya Mwanzo wa Mwaka, yaani, alijitolea kutumwa sehemu yoyote ya dunia kama mmisionari msafiri. Miezi hiyo ya mwisho ya maisha yake alitafuta kufanya mapenzi ya Mungu, na katika \u201cmiangwi\u201d yake na \u201csala\u201d zake katika maadhimisho ya jumuiya yake alirudia mara nyingi:  <strong>\u201cBwana, na itendeke\u201d<\/strong>.<\/p>\n\n<p>Usiku wa Januari 21, 1992, alifikiwa mlangoni mwa nyumba yake, akatekwa nyara na kupelekwa kikatili kwenye uwanja wazi, nje ya jiji, ili kubakwa na muuaji wake. Marta alitetea fadhila ya usafi kwa namna ya kishujaa, hadi kifo. Alipata majeraha 14 ya kuchomwa na kisu (sawa na yale aliyoyapata mtakatifu Maria Goretti), mojawapo lilimchoma moja kwa moja moyoni, na alikufa Januari 21 (sikukuu ya kiliturjia ya Mtakatifu Anyesi, bikira na shahidi).<\/p>\n\n<p>Katika parokia yake na katika jiji lote la Burgos, na pia katika mahali pengi huko Hispania na ulimwenguni kote, umewasili &#8220;umaarufu wa utakatifu na kifo cha kishahidi&#8221; wa msichana huyu mwenye kupenda kuwasiliana na mchangamfu, ambaye alizungumza waziwazi kuhusu utendaji wa Mungu. Katika maandishi ya Marta muda mfupi kabla ya kufa aliandika maneno haya ya kina kuhusu maisha yake:<\/p>\n<div class=\"wp-block-image\">\n<figure class=\"alignleft size-full is-resized\"><img loading=\"lazy\" decoding=\"async\" src=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatechumenal-marta-obregon-beatificacion-documentos-fase-romana.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-34404\" width=\"367\" height=\"342\" srcset=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatechumenal-marta-obregon-beatificacion-documentos-fase-romana.jpg 733w, https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/wp-content\/uploads\/2023\/05\/camino-neocatechumenal-marta-obregon-beatificacion-documentos-fase-romana-300x280.jpg 300w\" sizes=\"auto, (max-width: 367px) 100vw, 367px\" \/><figcaption class=\"wp-element-caption\"><em>Maandiko ya mchakato<\/em> wa kijimbo wa Kutangazwa Mwenye heri na Mtakatifu<\/figcaption><\/figure><\/div>\n<p><strong>&#8220;Ninaanza kutambua kitu kimoja: kwamba napaswa kuishi wakati huu, sasa, na ndipo tu nitaweza kugundua yale ya kabla, ambacho ni MAPENZI yako, na daima KILICHO BORA ZAIDI kwangu juu ya yote, juu ya YOTE ambayo ulimwengu hunipa. \u201d<\/strong><\/p>\n\n<p>Tunamshukuru Mungu kwa hatua hii mpya ambayo Kanisa linachukua na Marta Obreg\u00f3n na ambayo inazidisha tumaini letu. Katika ulimwengu ambamo uchafu (kwa tamaa za mwili) unakua na kuharibu kazi ya Muumbaji, mfano wa Marta Obreg\u00f3n, kwa utetezi wa kishujaa wa usafi, unakuwa nuru kwa vijana na wabalehe wa karne ya 21 ambao, wakishambuliwa na itikadi ya jinsia na kupotezwa maana kwa tendo la ngono, wengi hawafahamu heshima ya mwili na thamani ya ubikira, wakisababishiwa mateso mengi. Tumwombe Bwana ili mchakato huu uendelee kwa bidii na uwe mfano na faraja kwa vijana wa Njia ya Neokatekumenato na Kanisa zima.<\/p>\n\n<div style=\"height:30px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n\n<div class=\"wp-block-buttons is-content-justification-center is-layout-flex wp-container-core-buttons-is-layout-16018d1d wp-block-buttons-is-layout-flex\">\n<div class=\"wp-block-button is-style-outline is-style-outline--1\"><a class=\"wp-block-button__link has-text-align-center wp-element-button\" href=\"https:\/\/www.archiburgos.es\/2023\/05\/06\/roma-causa-marta-obregon\/\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Mchakato wa kumtangaza Marta Obreg\u00f3n kuwa Mwenye heri unaanzishwa tena- causademarta.net<\/a><\/div>\n<\/div>\n\n<div style=\"height:30px\" aria-hidden=\"true\" class=\"wp-block-spacer\"><\/div>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Siku ya Ijumaa, tarehe 5 Mei 2023, katika Idara ya Michakato ya Watakatifu ya Vatikano, kumekuwa na tukio la Ufunguzi wa masanduku ya Maandiko ya mchakato wa kijimbo wa kutangazwa Mwenye heri na Mtakatifu kwa Marta Obreg\u00f3n kwa njia ya kifo cha kishahidi. Limekuwa tukio rahisi lakini lenye adhama, la kupendeza na lenye hisia kubwa. Hatua hii inaashiria endeleo la utafiti wa kina unaotekelezwa katika awamu hii ya pili. Walihudhuria<\/p>\n<div class=\"read-more\"><a class=\"btn read-more-btn\" href=\"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/hatua-mpya-katika-awamu-ya-roma-ya-mchakato-wa-kutangazwa-mwenye-heri-kwa-marta-obregon\/\">Soma zaidi<\/a><\/div>\n","protected":false},"author":2,"featured_media":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1343],"tags":[],"class_list":["post-35619","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-uncategorized-sw"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/35619","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=35619"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/35619\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":35620,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/35619\/revisions\/35620"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=35619"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=35619"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/neocatechumenaleiter.org\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=35619"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}