Hadhira kwa waanzilishi wa Njia ya Neokatekumenato 13-11-2010

Hadhira kwa waanzilishi wa Njia ya Neokatekumenato 13-11-2010

Benedikto XVI

Mji wa Vatikano, tarehe 13 Novemba 2010

Kiko ameelezea hivi Hadhira “Tarehe 13 Novemba Carmen, Padre Mario na mimi tumekuwa na Hadhira ya binafsi pamoja na Baba Mtakatifu, ambaye amekuwa kwa kweli mwema sana nasi”.