Mawasiliano
Unaweza kutumia anwani zifuatazo kuwasiliana na Senta ya Njia ya Neokatekumenato ya Madrid - Hispania (kwa lugha ya kihispania)
Matembezi – Hija
Unapowasiliana, julisha yafuatayo: Parokia, jumuiya, idadi ya ndugu, mtu wa mawasiliano, namba ya simu, tarehe ya kutembelea, nk.