«Regina Coeli» (Malkia wa Mbingu) kwa utume nyanjani huko Roma 7-4-2013

«Regina Coeli» (Malkia wa Mbingu) kwa utume nyanjani huko Roma 7-4-2013

Fransisko

Uwanja wa Mtakatifu Petro – Jumapili ya Pili ya Pasaka au Huruma ya Mungu, 7 Aprili 2013

“Pia ninafurahi kuwasalimu ndugu wengi kutoka vyama na shirika mbalimbali mliopo hapa wakati huu wa sala, kwa namna ya pekee Jumuiya za Neokatekumenato za Roma, ambazo leo zinaanza utume wa pekee katika nyanja za mji. Ninawaalika nyote kupelekea Habari Njema katika kila aina ya mazingira ya maisha, ‘kwa upole na heshima’ (1 Pt 3, 16). Nendeni nyanjani mkamtangaze Yesu Kristo, Mwokozi Wetu”.