Kimechapishwa kitabu kipya kuhusu Carmen, mwanzilishi mwenza pamoja na Kiko Argüello wa Njia ya Neokatekumenato, na kinastahili kuzingatiwa nasi. Tunsaema kuhusu kitabu kinachoitwa Corazón Indiviso, misión y virginidad en Carmen Hernández, (“Moyo Usiogawanyika, utume na ubikira katika Carmen Hernández”) iliyoandikwa na Josefina Ramón, mshiriki katika Njia wa Neokatekumenato, na ambaye, kwa kufuata nyayo za Carmen, ni pia mseja na mmisionari msafiri, na kwa kuwa alilishwa na maisha na utajiri wa mawazo ya Carmen Hernández, sasa anatupakulia mawazo yayo hayo, kupitia kitabu kiki, kama chakula chenye lishe bora.
App ya kitabu cha nyimbo «AMEFUFUKA» inapatikana sasa.
Tunayo furaha ya kutangaza kwamba aplikesheni rasmi ya Kitabu cha Nyimbo “AMEFUFUKA” sasa inapatikana kwa usakinishaji, katika lugha kadhaa, kwenye vifaa vya Android na iOS…
Soma habari