Kazi za Kisimfonia ya Kiko Argüello: Njia ya Uzuri kwa ajili ya Uinjilishaji
Tafsiri yetu ya makala iliyochapishwa kwa idhini ya Vatican News Kutokana na hafla ya Jubilei ya Familia, simfonía zote mbili za mwanzilishi wa Njia ya Neokatekumenato, zilipigwa pamoja kwa mara ya kwanza jioni ya Juni 1, 2025, kwenye “Auditorio Parco della Musica” (“Ukumbi wa Bustani ya Muziki”)huko Roma: Monsinyori Fisichella asema: simfonia ya aina hii imetufundisha kuwa sisi si watazamaji bali washiriki. Débora Donnini – Mji wa Vatikano Ni muziki