Siku ya Vijana Duniani – SViD Lisbon 2023
Ndugu wapendwa, Kutoka Ureno tunawapatia taarifa kuhusu Siku ya Vijana Duniani (SViD) ijayo, huko Lisbon 2023. Tarehe rasmi za siku hizo ni kuanzia tarehe 1 hadi 6 Agosti 2023. Mkesha na Baba Mtakatifu utakuwa Jumamosi tarehe 5 na Ekaristi ya…
Soma habari hii