Vijana 120,000 kutoka Njia ya Neokatekumenato huko Roma kwa ajili ya Jubilei na Papa na mkutano wa miito.
Kama hitimisho la Jubilei ya Vijana, iliyotakwa na Baba Mtakatifu Fransisko na kuadhimishwa na Baba Mtakatifu Leo XIV, ili kurejesha matumaini kwa dunia ya leo, vijana 120,000 kutoka jumuiya za Njia ya Neokatekumenato kutoka nchi 109 katika mabara matano wamekusanyika…
Soma habari hii