Mkutano wa Kardinali Cobo na Njia ya Neokatekumenato

Alasiri ya Mei 26, Jumapili ya Utatu Mtakatifu, mkutano ulifanyika katika Senta ya Neokatekumenato huko “La Pizarra” (El Escorial, Hispania) na Kadinali José Cobo, Askofu Mkuu wa Madrid, na Kikundi cha Wawajibikaji Kimataifa wa Njia ya Neokatekumenato, ambacho kwa sasa kimeundwa na Kiko Argüello – mwanzilishi mwenza wa mkondo huu wa kanisa. pamoja na Mtumishi wa Mungu Carmen Hernández – Padre Mario Pezzi na Ascensión Romero, huku wakisindikizwa na ndugu