Fuentes de Carbonero el Mayor (Segovia – Hispania)

«WAKATI MAWE YANAONGEA TENA» Oktoba 12 iliyopita (2022), sikukuu ya Bikira wa Pilar (Bikira wa Nguzo)- siku ambayo Hispania inaadhimisha kwa taadhima, kutokea kwake Bikira Mama wa Mungu kwa mtume Santiago na wenzake katika mwaka wa 40 BK kwenye nguzo ya marumaru kwenye ukingo wa mto Ebro, ili kuwatia moyo katika kuendelea na uinjilishaji – huko Fuentes de Carbonero el Mayor, kijiji kidogo karibu na Segovia kilichotelekezwa na watu tangu

Hija Fuentes de Carbonero el Mayor (Segovia – Hispania)

Kanisa la Fuentes de Carbonero Mahali pa kuhiji na kuadhimisha, ushuhuda wa historia ambayo Mungu hufanya pamoja nasi. «Nilishangaa sana kwamba wakati nyumba zote katika kijiji hicho ziliharibika, kitu pekee kilichobaki kikisimama katika kijiji hicho kilichotelekezwa kilikuwa kanisa, na kanisa ambalo limejaa maskini.Hapa tulisherehekea Mkesha wa Pasaka na ndugu wa vibandani na wale wa jumuiya ya kwanza ya Madrid. Hatukuwa na umeme; Tulijiangazia na nuru ya mshumaa mkubwa wa zamani

Mawasiliano

Wasiliana nasi Unaweza kutumia anwani zifuatazo kuwasiliana na Senta ya Njia ya Neokatekumenato ya Madrid – Hispania (kwa lugha ya kihispania) +34 914 47 30 37 Mtaa Blasco de Garay, 828015 Madrid – Hispania information@neocatechumenaleiter.org Matembezi – Hija Unapowasiliana, julisha yafuatayo: Parokia, jumuiya, idadi ya ndugu, mtu wa mawasiliano, namba ya simu, tarehe ya kutembelea, nk. Senta ya Neokatekumenato Madrid visitas@cnc.madrid Kaburi la Carmen Hernández visitas@carmenhernandez.info Neema na fadhila Tudela