Mubashara
Kutoka Madrid (Hispania), jumapili tarehe 4 Desemba, 2022,  
saa 2 usiku, East Africa Time (GMT +03:00) 
Redemptoris Mater Seminari ya Kimisionari ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Tanzania


Ngao ya Jimbo Kuu la Madrid - Hispania
Jimbo Kuu la Madrid
Camino Neocatecumenal Youtube Icon

Kituo cha michezo cha Chuo Kikuu cha Francisco Vitoria. 
Anaongoza ibada Kard. Carlos Osoro, Askofu Mkuu wa Madrid. 
Waanzilishi wa Mchakato: Kiko Argüello, P. Mario Pezzi, Ascensión Romero, Taasisi za “Familia ya Nazareti” za Roma na Madrid. Mwombaji: Carlos Metola.

Share: