Siku ya Vijana Duniani Lisbon 2023 Mkutano wa Miito Tafsiri Mubashara
Jumatatu tarehe 7 Agosti 2023 16:30 (GMT +1)
Jumatatu tarehe 7 Agosti 2023 16:30 (GMT +1)
Jumatatu ijayo, Agosti 7, watakutana kutoka mabara matano pamoja na makardinali na maaskofu mbalimbali Njia ya Neokatekumenato, kama ilivyo desturi katika Siku za Vijana Duniani, itaadhimisha Mkutano wa Miito kwa sababu ya SViD huko Lisbon 2023. Itakuwa Jumatatu ijayo, Agosti 7 4:30 p.m (GMT +1) kwenye Paseo Marítimo ya Algés. Watashiriki zaidi ya vijana 75,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia, watakaokuwa wamemsindikiza Baba Mtakatifu Fransisko katika wiki ya maadhimisho ya
Ramani za Google (Google Maps) Google Earth Kwa maelezo zaidi juu ya kutembelea Barcelona, Soria, Navarra, n.k., unaweza kutembelea tovuti rasmi ya Carmen Hernández, Mtumishi wa Mungu. Unaweza pia kuwasiliana nasi ili kupanga ziara
Siku ya Ijumaa, tarehe 5 Mei 2023, katika Idara ya Michakato ya Watakatifu ya Vatikano, kumekuwa na tukio la Ufunguzi wa masanduku ya Maandiko ya mchakato wa kijimbo wa kutangazwa Mwenye heri na Mtakatifu kwa Marta Obregón kwa njia ya kifo cha kishahidi. Limekuwa tukio rahisi lakini lenye adhama, la kupendeza na lenye hisia kubwa. Hatua hii inaashiria endeleo la utafiti wa kina unaotekelezwa katika awamu hii ya pili. Walihudhuria
Uteuzi wa Wajumbe wa Idara ya Uinjilishaji. Kitengo cha maswala ya msingi ya uinjilishaji duniani. Papa Fransisko anawakaribisha Kikundi cha Kimataifa cha Njia ya Neokatekumenato tarehe 20 Septemba 2019 Baba Mtakatifu, Papa Fransisko ameteua leo tarehe 25 Aprili 2023 Wajumbe wa Idara ya Uinjilishaji, Kitengo cha Maswali ya Msingi ya Uinjilishaji Duniani, kwa muhula wa miaka 5. Miongoni mwao, pamoja na makardinali kumi kutoka sehemu mbalimbali za dunia, maaskofu wakuu
Maoni juu ya Carmen Hernández kutoka María Ascensión Romero
Kumgundua Charles de Foucauld katika Mapango ya Farlete “Huko nilikaa siku tatu katika pango, pango la Mtakatifu Kaprasi, peke yangu, bila kula, nikimsoma Charles de Foucauld, ambaye alinipa tia namna ya kuishi katika uwepo wa Bwana.” Kiko, katika Kuishi Pamoja ya Mwanzo wa Mwaka 2016-2017 Kabla ya kuanza safari kupitia Ulaya, na kwa kuitayarisha, Padre Aguilar alitaka kumpe-leka Kiko kwenye jangwa la Los Monegros, huko Farlete (mkoa wa Zaragoza), ambapo